RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Msikiti wa
Ijumaa Miembeni Jijini Zanzibar alipowasili kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Isha
na Tarawekh, iliofanyika katika msikiti huo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Kiislam katika
Sala ya Tarawekh, ikiongozwa na Ust.Kassam Seif na (kulia kwa Rais) Naibu Imamu
wa Msikiti wa Miembeni Sheikh.Fahim Hafidh na (kushoto kwa Rais) Katibu wa
Mufti Mkuu Sheikh Khalid Ali Mfaume, wakiwa katika Sala ya Tarawekh iliofanyika
katika msikiti wa Ijumaa Miembeni Jijini Zanzibar

Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Katibu wa
Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume (kushoto kwa Rais) na (kulia
kwa Rais) Naibu Imani waMsikiti wa Ijumaa Miembeni Sheikh Fahim Hafidh, wakiitikia
dua baada ya kumalizaka kwa Sala ya Tarawekh iliofanyika katika msikiti huo

WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiitikia dua
ikisomwa na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume (hayupo
pichani) baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh iliofanyika katika Msikiti wa
Ijumaa Miembeni Jijini Zanzibar jana usiku 16-4-2021
No comments:
Post a Comment