Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Mwinyi Amezungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Ikulu Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Donald John Wright, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha,mazungumzo  yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Donald John Wright, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo  yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa kitabu na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Donald John Wright, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo  yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Donald John Wright, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Donald John Wright, na ujumbe wake baada ya kumaliza mazungumzo na kujitambulisha yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.