Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikaribishwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima, wakati alipowasili kwenye hoteli ya Morena jijini Dodoma Kuzindua Ajenda ya Kitaifa ya kuwekeza Katika Afya na Maendeleo kwa Vijana Balehe, Aprili 17, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikaribishwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima, wakati alipowasili kwenye hoteli ya Morena jijini Dodoma Kuzindua Ajenda ya Kitaifa ya kuwekeza Katika Afya na Maendeleo kwa Vijana Balehe.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanachuo wa Chuo cha Mafunzo ya Ufundi (VETA) Dodoma wakati alipotembelea maonesho yao kabla ya kuzindua Ajenda ya Kitaifa ya kuwekeza Katika Afya na Maendeleo kwa Vijana Balehe kwenye hoteli ya Morena jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima kuingia kwenye ukumbi wa Hoteli ya Morena jijini Dodoma kuzindua Ajenda ya Kitaifa ya kuwekeza Katika Afya na Maendeleo kwa Vijana Balehe, Aprili 17, 2021. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipozindua Ajenda ya Kitaifa ya kuwekeza Katika Afya na Maendeleo kwa Vijana Balehe kwenye Hoteli ya Morena jijini Dodoma, Aprili 17, 2021. Wengine kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Mwakilishi wa UNCEF nchini, Shalini Bahuguna, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Doroth Gwajima na kulia ni Mwakilishi wa World Vision, Nasir Mollel
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Ajenda ya Kitaifa ya kuwekeza Katika Afya na Maendeleo kwa Vijana Balehe kwenye hoteli ya Morena jijini Dodoma
Baadhi ya washiriki wa tukio la Uzinduzi wa Ajenda ya Kitaifa ya Kuwekeza Katika Afya na Maendeleo kwa Vijana Balehe kwenye hoteli ya Morena jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mwakilishi wa UNICEF nchini, Shalini Bahuguna baada ya kuzindua Ajenda ya Kitaifa ya kuwekeza Katika Afya na Maendeleo kwa Vijana Balehe kwenye Hoteli ya Morena jijini Dodoma, Aprili 17, 2021. Kushoto ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima
No comments:
Post a Comment