Habari za Punde

Mahafali ya Kumi na Nne ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (ZU)

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Simai Mohammed Said akimkabidhi tunzo ya chemchem ya Elimu Mkuu wa Chuo cha ZU Injini Doktor Abdulqadir Othman Hafiz.

Wanafunzi wakingia kwa maandaano kwenye eneo yalipofanyika mahafali ya kumi na nane ya Chuo Kikuu cha  Zanzibar.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Simai Mohammed Said akiwahutubia  wahitimu wa Chuo Kikuu cha Zanzibar wakati wa  Mahafali ya 18 ya  chuo hicho yaliyofanyika Tunguu Mkoa Kusini Unguja.
Baadhi ya wahitimu wa kada ya uguzi ngazi ya Diploma wakila kiapo cha utii katika mahafali ya 18 ya Chuo Kikuu cha Zanzibar

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Simai Mohammed katika picha ya pamoja na menejmeti ya Chuo Kikuu cha Zanzibar pamoja na wanafunzi waliofanya vizuri zaidi.

Picha na Makame Mshenga.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.