Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma akitowa mkono wa Eid El Fitry kwa Watoto Yatima wanaoishi katika Kituo cha Watoto ZASO Children Home Fuoni Wilaya ya Magharibi "B"Unguja alipofika kuwatembelea na kutowa Mkono wa Eid.
No comments:
Post a Comment