Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika
picha ya kumbukumbu na mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Alhaji Aliko
Dangote mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 24
Mei, 2021. Wengine katika picha ni Waziri wa Viwanda na Biashara Profesa Kitila
Mkumbo, Waziri wa Uwekezaji Geoffrey Mwambe, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango
Hamad Masauni, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Alphayo Kidata
pamoja na wajumbe wengine waliombatana na Alhaji Aliko Dangote.
REA YASAMBAZA MITUNGI NA MAJIKO YA GESI KWA WATUMISHI WA GEREZA LA UKONGA
DAR ES SALAAM
-
-REA kuendela kuwajengea uwezo Magereza uendelezaji Miradi ya Nishati Safi
-Mhe. Balozi Radhia Msuya amewahamasisha Maafisa na Watumishi wa Magereza
kuwa M...
5 hours ago
No comments:
Post a Comment