Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS DKT MPANGO AMUWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE KUMBUKIZI YA MWAKA MMOJA YA HAYATI RAIS NKURUNZIZA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdori Mpango, akiwasili kwenye Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Melkior Ndadaye Bujumbura Burundi kwa ajili ya kuhudhuria kumbukizi ya Mwaka mmoja ya aliyekuwa Rais wa Burundi Hayati Piyer Nkurunziza iliyofanyika leo Juni 08,2021 Jijini Gitega Burundi. . Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye kumbukizi hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdori Mpango, akisalimiana na Viongozi Mbalimbali wa Serikali ya Burundi na Tanzania alipowasilia katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Melkior Ndadaye Bujumbura Burundi kwa ajili ya kuhudhuria kumbukizi ya Mwaka mmoja ya aliyekuwa Rais wa Burundi Hayati Piyer Nkurunziza iliyofanyika leo Juni 08,2021 Jijini Gitega Burundi. . Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye kumbukizi hiyo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdori Mpango, na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango, wakisalimiana na Rais wa Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye katika Eneo la maalum lenye Kaburi la aliyekuwa Rais wa Burundi  Hayati Piyer Nkurunziza Jijini Gitega Nchini Burundi wakati wa  kumbukizi ya kutimia mwaka mmoja tokea kifo chake. iliyofanyika leo Juni 08,2021. Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye kumbukizi hiyo.








 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.