Habari za Punde

UFUNGUZI WA SKULI YA TURKISH MAARIF ZANZIBAR NA MAHFALI YA KWANZA.

Mke wa Rais wa Zanzibar  Mama Mariam Mwinyi (katikati)akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar  iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar  ambapo amemuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyipamoja na sherehe ya Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita skulini hapo leo
Mke wa Rais wa Zanzibar  Mama Mariam Mwinyi (wa nne kulia)akiwa Waziri  wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Simai Mohamed Said (kushoto kwa Mama) pamoja na Viongozi mbali mbali  alipotembelea darasa la Komputa   baada ya kuifungua wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa jijini Zanzibar ambapo amemuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyipamoja na sherehe ya Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hapo leo.
Mke wa Rais wa Zanzibar  Mama Mariam Mwinyi (kushoto)akiwaangalia wanafunzi Majid Mohamed Msanif na Hajra Ali Khamis walipokuwa wakifanya mazoezi ya Vitendo  alipotembelea Chumba cha Maabara  baada ya kuifungua wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar ambapo amemuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi pamoja na sherehe ya Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hapo leo(katikati) Waziri  wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Simai Mohamed Said
Mke wa Rais wa Zanzibar  Mama Mariam Mwinyi (kushoto)aki angalia mwanafunzi Ameir Khalifa Hassan alipokuwa akifanya mazoezi ya Vitendo ya upasuaji  alipotembelea Chumba cha Maabara  baada ya kuifungua wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar  iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar ambapo amemuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi pamoja na sherehe ya Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hapo leo(kushoto) Waziri  wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Simai Mohamed Said
Mke wa Rais wa Zanzibar  Mama Mariam Mwinyi na Waziri  wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Simai Mohamed Said (katikati) wakifuatana na Viongozi wengine alipowasili katika sherehe za ufunguzi wa  Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar  iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar sambamba na Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hapo ambapo amemuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika sherehe hiyo leo(kulia) Mjumbe wa Bodi ya Maarif kutoka nchini Uturuku Prof.Aysen Gurshan na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Dkt.Mehment Gulluoglu  .[Picha na Ikulu] 12-6-2021.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.