Habari za Punde

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Awasilisha Bajeti ya Kuu ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Kwa Mwaka wa Fedha 2021/2020 leo.

Waziri wa Nchi Ofisi Fedha na Mipango ZanzibarMhe.Jamal Kassim Ali akijianda kusoma Bajeti ya Serikal ya Mapinduzi Zanzibar kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Jamal Kassim Ali akiwasilisha na kusoma Bajeti Kuu ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022 kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ikiwasilishwa na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Jamal Kassim Ali katika ukumbi wa Baraza Chukwani Jijini Zanzibar na kushoto Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.Dkt Mwinyi Talib Haji na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Sera na Uratibu Baraza la Wawakilishi  Mhe.Dkt,Khalid Salum Mohammed.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa mwaka wa Fedha 2021/2022, ikiwasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe.Jamal Kassim Ali. 

Baadhi ya Mabalozi Wadogo wanaofanyika Kazi zao Nchini Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2021 /2022, ikiwasilidshwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe Jamal Kassim Ali katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Jijini Zanzibar. 
Wageni waalikwa katika mkutano wa Bajeti wakifuatila hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ikiwasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Jamal Kassim Ali kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanziubar kwa mwaka wa fedha 2021 /2022. ikiwasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Jamal Kassim Ali.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.