Habari za Punde

Waziri wa Uchumi wa Buluu Zanzibar Mhe.Abdalla Hussein Kombo Awasilisha Hutuba ya Wizara yake ya Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2021/2022.

Waziri wa Uchumi wa Buluu Mhe.Abdalla Hussein Kombo akiwasilisha hutuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake kwa mwaka wa fedha 2021/2022,kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. 
Mwakilishi wa Jimbo la Tumbatu Zanzibar Mhe. Haji Omar Kheri akichangia hutuba ya Bajeti ya Wizara ya Uchumi wa Buluu Zanzibar., wakati wa mkutano wa Bajeti kwa mwaka 2021/2022, katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Jijini Zanzibar.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.