Habari za Punde

Mzee Mohammed Said Mohammed Amenogesha Mbio za NMB Kilomita 5 za Zanzibar Internation Marathon Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar

Mshiriki wa Mbio za Zanzibar Internation Marathon za Kilomita 5 NMB Marathon Mohammed Said Mohammed ameshiriki mbio hizo akiwa amevalia Suti na Tai na viatu vya mokasi, kuonesha umahiri wa kukimbia akiwa katika vazi hilo na kuwavutia Wananchi wengi wa Zanzibar na  Nje ya Zanzibar. Na kunogesha Mbio hizo za kilomita Tano zilizodhamiliwa na Benki ya NMB. 
Mshiriki wa Mbio za Kilomita 5 zilizodhaminiwa na Benki ya NMB Zanzibar Internation Marathon Mohammed Said Mohammed akimaliza mbio hizo katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar , zilizoazia katika viwanja vya Ngome Kongwe. 
Mshiriki wa Mbio za Zanzibar Marathon za Kilomita 5  zilizodhaminiwa na Benki ya NMB Mzee Mohammed Said Mohammed akimalizia mbio hizo zilizoaza katika eneo la Ngome Kongwe na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar 18-7-2021. Alikuwa kivutia aliaza mbio hizo akiwa amevalia vazi la Suti na Mokasi na Tai.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.