Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Akabidhiwa Ripoti ya Utekelezaji Mpango Kazi ya Mkoa Mjini Magharibi Unguja Kabla ya Kuannza Ziara.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma Taarifa ya Utekelezaji ya mpango Kazi ya Mkoa wa Mjini Magharibi katika ukumbi wa Chuo Cha Utalii Maruhubi,kabla ya ziara, wakati ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa kabla ya kuaza ziara yake katika Mkoa huo.
Viongozi wa Vyama vya Siasa na wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia Taarifa ya utekelezaji Kazi ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakati ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi kabla ya kuaza kwa ziara hiyo.
Maofisa wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia Taarifa ya utekelezaji Kazi ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakati ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi kabla ya kuaza kwa ziara hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe,Ussi Salum Pondeza (mwenye kofia) akifuatilia Taarifa ya utekelezaji Kazi ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakati ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi kabla ya kuaza kwa ziara hiyo.
Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia Taarifa ya utekelezaji Kazi ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakati ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi kabla ya kuaza kwa ziara hiyo.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.