Habari za Punde

Uzinduzi wa Jengo la taasisi ya utafiti wa Uvuvi na Rasilimali za Bahari Zanzibar

Jengo la taasisi ya utafiti wa Uvuvi na Rasilimali za Bahari Zanzibar lililofunguliwa na Rais wa Zanizibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi leo akiwa katika ziara  ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika Wilaya ya Mjini Unguja[Picha na Ikulu] 09/07/2021
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.