Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Azindua Bodi ya Korosho na Kuzungumza na Viongozi wa Wizara ya Kilimo na Wakuu wa Mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na Pwani.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini Lindi kuzindua Bodi ya Korosho Tanzania na kuzungumza na viongozi wa Wizara ya Kilimo, Wakuu wa Mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na Pwani, Mkurugenzi wa Pembejeo, Mrajisi wa Ushirika  na  Viongozi wa Vyama Vikuu vya Ushirika kutoka Mikoa hiyo, Julai 22, 2021. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Teleack, wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho, Brigedia Jenerali Mstaafu,  Aloyce  Mwanjile   wa tatu kulia ni Mkurugenzi wa Bodi ya Borosho, Francis   Alfred   na wa nne kulia ni Katibu Tawala  Mkoa wa Lindi, Rehema Madenge
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Bodi ya Korosho Tanzania  na kuzungumza na viongozi wa Wizara ya Kilimo, Wakuu wa Mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na Pwani, Mkurugenzi wa Pembejeo, Mrajisi wa Ushirika  na  Viongozi wa Vyama Vikuu vya Ushirika kutoka mikoa hiyo, kwenye ukumbi wa Mkuu wa Ofisi ya Mkoa  mjini Lindi, Julai 22, 2021.   Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Tanzania , Brigedia Jenerali Mstaafu, Aloyce Mwanjile.
Baadhi ya Wadau wa zao la korosho wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozindua Bodi ya Korosho  Tanzania kuzungumza na viongozi wa Wizara ya Kilimo, Wakuu wa Mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na Pwani, Mkurugenzi wa Pembejeo, Mrajisi wa Ushirika  na  Viongozi wa Vyama Vikuu vya Ushirika kutoka mikoa hiyo, kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkoa mjini Lindi, Julai 22, 2021. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.