Habari za Punde

Timu ya Wachezaji wa Zamani ya Pemba Veterani Imeibuka Bingwa na Mchezo wa Kirafiki wa Wachezaji wa Zamani Zanzibar kwa Kuwafunga Veterani ya Unguja Kwa Bao 4-2.

    Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar BiFatma Hamad Rajab akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Mchezo wa Wachezaji wa Zamani wa Mpira wa Miguu Zanzibar Nahodha wa Timu ya Veterani ya Pemba Suweid Hamad baada ya kuibuma mshindi wa mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Gombani Pemba kwa ushindi wa mabao 4-2 kwa njia ya penenti baada ya timu hizo kutoka sare bila ya kufungana na (kulia) NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Khamis Abdalla Saidi, Bingwa amekabidhiwa Kombe na Shilingi Milioni Mona na Laki Tano.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar BiFatma Hamad Rajab akimkabidhi Kombe la Mshindi wa Pili wa Mchezo wa Wachezaji wa Zamani wa Mpira wa Miguu Zanzibar Nahodha wa Timu ya Veterani ya Unguja Nassor Bwanga  baada ya kuibuma mshindi wa Pili wa mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Gombani Pemba kwa ushindi wa mabao 4-2 kwa njia ya penenti baada ya timu hizo kutoka sare bila ya kufungana na (kulia) NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Khamis Abdalla Saidi, Mshindi wa Pili wamepata Kikombe na shilingi Milioni Moja.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar BiFatma Hamad Rajab akimkabidhi Kombe na Fedha Tasilim Shilingi Milioni Moja kwa Mshindi wa Pili wa Mchezo wa Wachezaji wa Zamani wa Mpira wa Miguu Zanzibar Nahodha wa Timu ya Veterani ya Unguja Nassor Bwanga  baada ya kuibuma mshindi wa Pili katika mchezo huo uliofanyika katika Uwanja wa Gombani Pemba.Katika mchezo huo Timu ya Veterani Pemba imeshinda kwa Penenti 4-2.
Mgeni rasmin wa mchezo wa Wachezaji wa Zamani Zanzibar Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar BiFatma Hamad Rajab, akimkabidhi zawadi ya Kingamuzi cha Zmux Mchezaji Bora wa Mchezo huo wa Timu ya Veterani Pemba Hamad Haji, kwa uchezaji wake katika mchezo huo uliofanyika katika Uwanja wa Gombani Pemba. 
Mgeni rasmin wa mchezo wa Wachezaji wa Zamani Zanzibar Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar BiFatma Hamad Rajab, akimkabidhi zawadi  ya Kingamuzi kilichotolewa na Zmux  kwa Mchezaji Bora wa Mchezo huo wa Timu za Veterani wa Unguja na Pemba, akimkabidhi Ramadhan Hamza Kidilu, baada ya kuibuka mchezaji bora wa mchezo huo uliofanyika katika Uwanja wa Gombani Pemba. 
Mgeni rasmin wa mchezo wa Wachezaji wa zamani wa mpira wa miguu Zanzibar Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar BiFatma Hamad Rajab, akiwavisha nishani Wachezaji wa Timu ya Veterani ya Unguja baada ya kuibuka washindi wa Pili wa Mchezo huo uliofanyika katika Uwanja wa Gombani, kwa kukubali kipigo cha penenti 4-2 dhidi ya Timu ya Veterani kutoka Pemba.

Mgeni rasmin wa mchezo wa Wachezaji wa zamani wa mpira wa miguu Zanzibar Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar BiFatma Hamad Rajab, akiwavisha nishani Wachezaji wa Timu ya Veterani ya Pemba baada ya kuibuka washindi wa Mchezo huo uliofanyika katika Uwanja wa Gombani, kwa kukubali kipigo cha penenti 4-2 dhidi ya Timu ya Veterani kutoka Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.