VIONGOZI wa Mabaraza
ya Vijana na taasisi zinazoshughulikia vijana Pemba, wakiwa katika kikao cha
kujadili changamoto zinazowakabili vijana wa kisiwa Cha Pemba, kikao
kilichofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA
MKURUGENZI wa Maendeleo ya Vijana Zanzibar Shaibu
Ibrahim Mohamed, akizungumza katika mkutano wa kujadili changamoto
zinazowakabili vijana wa Kisiwa Cha Pemba, Mkutano uliowashirikisha viongozi wa
mabaraza ya vijana Wilaya na Taifa, taasisi zinazoshuhulika na Vijana, mkutano
uliofanyika katika ofisi za Wizara ya Habari Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment