Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Amekutana na Uongozi wa Jiji la Dar es Salaam.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa jiji la Dar es Salaam, katika kikao cha pamoja kujadiliana namna ya kuboresha utalii wa fukwe kwa lengo la kuchochea shughuli za kiuchumi na kijamii. kikao ambacho kilijadili namna bora ya kutumia maeneo ya wazi ya jiji hilo. Agosti 17, 2021. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa jiji la Dar es Salaam, katika kikao cha pamoja kujadiliana namna ya kuboresha utalii wa fukwe kwa lengo la kuchochea shughuli za kiuchumi na kijamii. kikao ambacho kilijadili namna bora ya kutumia maeneo ya wazi ya jiji hilo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, Katika kikao cha pamoja cha kujadiliana namna ya kuboresha utalii wa fukwe kwa lengo la kuchochea shughuli za kiuchumi na kijamii jijini Dar es Salaam, Agosti 17, 2021. 
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.