Habari za Punde

Hafla ya uzinduzi wa awamu ya pili wa mradi wa uimarishaji wa mfumo wa maji machafu wa awamu ya pili wa Msingini Chakechake Pemba

MKUU wa Idara ya Mazingira Pemba Mwalim Khamis Mwalim, akitoa majibu ya masuali yaliyoulizwa na wadau wakati wa uzinduzi wa awamu ya pili ya mradi wa uimarishaji wa mfumo wa maji machafu wa awamu ya pili wa Msingini Chake chake Pemba, hafla iliyofanyika wesha nje kidogo ya mji wa Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamo wa kwanza wa Rais Zanzibar, Dr Omar Dadi Shajak, akizungumza wakati wa uzinduzi wa awamu ya pili ya mradi wa uimarishaji wa mfumo wa maji machafu msingini Chake chake Pemba, hafla iliyofanyika wesha nje kidogo ya mji wa Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MKURUGENZI Mkuu wa Idara ya Mazingira Zanzibar Farhat Ali Mbarouk, akibadilishana mawazo na Mshauri elekezi na mhandisi wa miundombinu ya mradi huo kutoka Green Water Sara Den Haring, mara baada ya uzinduzi wa awamu ya pili wa mradi wa uimarishaji wa mfumo wa maji machafu wa awamu ya pili wa Msingini Chakechake Pemba, hafla iliyofanyika wesha nje kidogo ya mji wa Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.