Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Ikulu leo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.Dk.Stergomena Tax, alipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, na (kulia kwa Waziri) Katibu Mkuu wa Wizara hiyo.Dkt.Faraj Mnyepe.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Tanzania Dk.Stergomena Tax (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Tanzania.Dk. Stergomena Tax, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Tanzania Dk.Stergomena Tax, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar,23-9-2021.
(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.