Habari za Punde

Waziri Mhe.Mhagama Akagua Utekelezaji wa Mradi wa Nyumba za Makazi za NSSF Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa eneo la nyumba za makazi za NSSF Toangoma Bw. Emmanuel Keffa akieleza changamoto za miundombinu ya barabara wakati wa ziara ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama katika mradi huo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akitoa maelekezo kwa menejimenti ya NSSF wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya miradi ya Nyumba za makazi za NSSF zilizopo Mtoni Kijichi Dar es Salaam
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na timu aliyoambatana nayo kukagua mradi wa nyumba za makazi za NSSF eneo la Mtoni Kijichi Dar es Salaam.
Mmoja wa wapangaji wa nyumba za NSSF eneo la Dungu Wilaya ya Kigamboni Dar es Salaam Bi. Flora Mwakipesile akieleza uzuri wa nyumba hizo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama  alipofanya ziara kukagua maendeleo ya mradi huo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akifuatilia taarifa ya miradi ya nyumba za  makazi za NSSF Dar es Salaam wakati wa kikao cha majumuisho mara baada ya wakati wa ziara hiyo.

Meneja Mradi NSSF, Helmes Pantaleo akisoma taarifa ya miradi ya nyumba za makazi za NSSF wakati wa ziara Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani)
  (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.