Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Majaliwa Awasalimia Wananchi wa Kijiji cha Nkwenda Wilayani Kyerwa - Kagera.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Nkwenda wilayani Kyerwa  wakati aliposimama akiwa njiani kwenda Makao Makuu ya wilaya hiyo, Septemba 20, 2021. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.