Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Aongoza Kikao Kazi cha Mawaziri na Makatibu Wakuu.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongea na Mawaziri, Naibu Mawaziri, Matibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na kikosi kazi cha Taifa cha Kuratibu mpango wa Serikali kuhamia Dodoma katika kikao kazi kilichofanyika kwenye ukumbi wa Hazina, jijini Dodoma Septemba 8, 2021.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza katika kikao kazi kilichoongozwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa Hazina, jijini Dodoma 
Katibu wa Kikosi Kazi cha kuratibu Serikali Kuhamia Dodoma Meshack Bandawe akiwasilisha taarifa ya ujenzi awamu ya pili ya mradi wa ujenzi wa  Majengo ya kudumu katika mji wa Serikali katika kikao kazi kilichoongozwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa Hazina, jijini Dodoma
Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na wajumbe wa kikosi kazi cha Taifa cha Kuratibu mpango wa Serikali kuhamia Dodomwakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika kikao kazi kilichofanyika kwenye ukumbi wa Hazina, jijini Dodoma Septemba 8, 2021.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.