Habari za Punde

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohamed Said Ameifungua Maabara ya Chuo Cha Karume Zanzibar.

Waziri wa Elimu na Mafunzi ya Amali Zanzibar Mhe, Simai Mohammed Said akiangalia kazi mbalimbali za nishati mbadala na  mafuta na Gesi kwa Wanafunzi wa Chuo cha Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia, wakati wa ziara yake kutembelea na kuifungua maabara ya Chuo hicho huko Mbweni Mjini Unguja.

Waziri wa Elimu na Mafunzi ya Amali Zanzibar Mhe, Simai Mohammed Said akipata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi wa Chuo cha Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Mbweni, baada ya kufungua maabara hizo huko Mbweni Mjini Unguja.

Waziri wa Elimu na Mafunzi ya Amali Zanzibar Mhe, Simai Mohammed Said akiangalia kazi mbalimbali za nishati mbadala na  mafuta na Gesi kwa Wanafunzi wa Chuo cha Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia, baada ya kufungua maabara hizo huko Mbweni Mjini Unguja.

Waziri wa Elimu na Mafuno ya Amali Zanzibar Mhe, Simai Mohammed Said akitoa maelekezo ya namna ya kuwasaidia Wanafunzi wa fani ya Mfuta na Gesi kuingia katika soko la ajira, wakati alipofika kufungua Maabara za Nishati mbadala na Mafuta na Gesi katika Chuo cha Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia, Mbweni Mjini Unguja.

Picha na Maulid Yussuf WEMA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.