Habari za Punde

Rais Mhe Samia apokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa China

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa China Mhe. Chen Mingjian Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 11 Oktoba 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa China Mhe. Chen Mingjian mara baada ya kupokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Chen Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 11 Oktoba 2021.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.