Habari za Punde

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Akabidhiwa Ofisi Rasmin leo.

Makamu mkuu mstaafu Dkt.Zakia M.Abubakar (kushoto) akimkabidhi  Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha Taifa Zanzibar SUZA Prof.Moh'd Makame Haji (kulia), baadhi ya vitabu   vyenye  taarifa mbalimbali za chuo na sheria, ikiwa ni ishara ya makabidhiano ya Ofisi , kati kati ni Katibu mkuu WIzara ya elimu na mafunzo ya Amali Zanzibar Ali khamis Ali, hafla iliyofanyika SUZA

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar SUZA akitoa neno la shukurani mara baada ya kukabidhiwa Ofisi na Makamu Mkuu mstaafu wa Chuo hicho Dkt. Zakia M. Abubakar hafla iliyofanyika SUZA

Picha na Fauzi Mussa - Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.