Habari za Punde

Rais Mhe. Samia na Rais Museveni wa Uganda washiriki katika Uzinduzi wa Shule ya Awali na Msingi Museveni Pre and Primary School yenye Mtaala wa Kingereza Chato mkoani Geita leo tarehe 29 Novemba 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni kwa pamoja wakiondoa kitambaa  kuzindua rasmi Shule ya Awali na Msingi Museveni Pre & Primary School  iliyojengwa kwa msaada wa Rais  Yoweri Museveni Wilayani Chato Mkoani Geita leo tarehe 29 Novemba 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni kwa pamoja wakikata utepe kuzindua rasmi Shule ya Awali na Msingi Museveni Pre & Primary School  iliyojengwa kwa msaada wa Rais  Yoweri Museveni Wilayani Chato Mkoani Geita leo tarehe 29 Novemba 2021.
Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni akimkabidhi mfano wa funguo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kama ishara ya makabidhiano ya Shule hiyo ya Awali mara baada ya uzinduzi uliofanyika katika Shule hiyo ya Museveni Pre & Primary School Chato mkoani Geita leo tarehe 29 Novemba 2021.
Majengo ya Shule hiyo ya Awali na Msingi iliyojengwa kwa msaada wa  Rais Yoweri Museveni Chato mkoani Geita

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakikagua baadhi ya majengo ya Shule hiyo ya Awali na Msingi iliyojengwa kwa msaada wa  Rais Yoweri Museveni Chato mkoani Geita leo tarehe 29 Novemba 2021 mara baada ya kuizindua rasmi Shule hiyo.

 

Majengo ya Shule hiyo ya Awali na Msingi iliyojengwa kwa msaada wa  Rais Yoweri Museveni Chato mkoani Geita


 Majengo ya Shule hiyo ya Awali na Msingi iliyojengwa kwa msaada wa  Rais Yoweri Museveni Chato mkoani Geita

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.