Habari za Punde

Ufunguzi wa Mkutano wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad Ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Katibu wa Kamati ya Taasisi ya Maalim Seif Foundation Bw. Ismail Jussa alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar kuhudhuria Ufunguzi wa Mkutano wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu wa Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Katibu wa Kamati ya Taasisi ya Maalim Seif Foundation Bw. Ismail Jussa alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar kwa ajili ya kuuffungua Mkutano wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu wa Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad. 
KATIBU wa Kamati ya Taasisi ya Maalim Seif Sharif Bw. Ismail Jussa  akizungumza katika na kutowa maelezo ya Taasisi ya Maalium Seif, wakati wa hafla ya mkutano wa ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Maisa ya Maalim Seif Sharif Hamad. lililofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Zanzibar.

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe Othman Masoud Othman akizungumza na katika hafla ya ufunguzi wa mkutano wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad, lililofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Zanzibar
BAADHI ya Wageni Waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin, kulifungua Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu wa Maisha ya Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad. lililofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuhutubia wakati wa hafla ya mkutano wa ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho na Kumbukumbu ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad, lililofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Zanzibar
BAADHI ya Wageni Waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin, kulifungua Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu wa Maisha ya Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad. lililofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Zanzibar
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa  mkutano wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad, lililofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Zanzibar leo 5-11-2021
RAIS Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Sita Mhe Dkt. Amani Karume na Mjane  wa Marehemu  Maalim Seif Sharif Mama Awema Sharif, wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa mkutano wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad,wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) akihutubia na kulifunga katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Zanzibar
BAADHI ya Mabalozi na Wawakilishi wa Taasisi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Maisa ya Maalim Seif Sharif Hamad, lililofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Zanzibar
BAADHI ya Mabalozi na Wawakilishi wa Taasisi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Maisa ya Maalim Seif Sharif Hamad, lililofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Zanzibar
KATBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto) Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Othan Hassan Ngwali na (kulia kwake)Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera,Uratibu na Baraza la Wawakilishi. Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed na Waziri wa Nchiu Ofisi  ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa wasifu wa Maalim Seif, wakati wa Kongamano la Maadhimishi ya Kumbukumbu ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad, lililofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Zanzibar.
WANAFAMILIA ya Maalim Seif Sharif Hamad  wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) akihutubia la kulifungua Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad, lililofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip ZanzibarRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mjane wa Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad Mama Awena Sharif, baada ya kumalizika kwa hafla ya mkutano wa ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumnbu ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad, lililofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.