Habari za Punde

Mafunzo ya Mahakimu juu ya upatikanaji wa haki kwa watu wasiokuwa na uwezo na wenye mahitaji maalumu yafanyika kisiwani Pemba

JAJI Mstaafu Mahakama Kuu Tanzania Robert Vincent Makaramba, akiwasilisha mada katika Mafunzo ya Mahakimu juu ya upatikanaji wa haki kwa watu wasiokuwa na uwezo na wenyemahitaji maalumu, yaliyofanyika Mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

MTENDAJI Mkuu Msaidizi wa Mahakama Kuu Pemba Thuwaiba Amour Haji, akitoa neno la shukuran wakati wa mafunzo ya Mahakimu juu ya upatikanaji wa haki kwa watu wasiokuwa na uwezo na wenyemahitaji maalumu, yaliyofanyika Mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Salama Mbarouk Khatib (kulia), akimkabidhi cheti Rehema Juma Khamis mara baada ya kuhitimu mafunzo ya Mahakimu juu ya upatikanaji wa haki kwa watu wasiokuwa na uwezo na wenyemahitaji maalumu, yaliyofanyika Mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Salama Mbarouk Khatib, akifunga mafunzo ya Mahakimu juu ya upatikanaji wa haki kwa watu wasiokuwa na uwezo na wenyemahitaji maalumu, yaliyofanyika Mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

Washiriki wa mafunzo  ya Mahakimu juu ya upatikanaji wa haki kwa watu wasiokuwa na uwezo na wenye mahitaji maalumu wakiendelea na mafunzo. PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)


 Washiriki wa mafunzo  ya Mahakimu juu ya upatikanaji wa haki kwa watu wasiokuwa na uwezo na wenye mahitaji maalumu wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa veyti vyao. PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.