Habari za Punde

MAONYESHO YA KWANZA YA UBUNIFU WA TEHAMA ZANZIBAR

Mkurugenzi Tehama Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali  Zanzibar Omar S. Ali akiangalia  baadhi ya kazi za ubunifu wa tehama zilizofanywa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Taifa  SUZA katika maonyoesho ya kwanza ya  siku  ya UBUNIFU WA TEHAMA yaliyofanyika Ukumbi wa  Skuli ya Utalii Maruhubi Zanzibar. 

Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Prof. Mohammed Makame Haji akizungumza na kumkaribisha mgeni rasmi kuhutubia katika maonyesho ya kwanza ya kazi za ubunifu wa tehama huko Ukumbi wa Skuli ya Utalii Maruhubi Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.