Vikosi mbalimbali vya
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ vikipita Kikakamavu mbele ya Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan
katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Sherehe zilizofanyika
katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam leo tarehe 9 Desemba, 2021.
HESHIMA NA HADHI YA WAANDISHI YAZIDI KUIMARISHWA KUPITIA JAB
-
*Na Mwandishi Wetu, JAB*
*Vitambulisho vipya vya kidijitali vinavyoendelea kutolewa na Bodi ya
Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) vimepokelewa kw...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment