Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ambae Pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCMTaifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Ahudhuria Kikao Cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.Mhe Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdallah Juma Mabodi (kushoto kwa Rais) akiwa na Viongozi wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, alipowasili Afisi Kuu ya CCM Zanzibar kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri ya CCM Zanzibar.kilichofanyika leo 12-12-2021
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdallah Juma Mabodi (kushoto kwake) akiwa na Viongozi wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, alipowasili Afisi Kuu ya CCM Zanzibar kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri ya CCM Zanzibar.kilichofanyika.
WAJUMBE wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri ya CCM Zanzibar wakisoma makabrasha ya Kikao kabla ya kuaza kwa, kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar
WAJUMBE wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa wamesimama wakati wa kuwasili kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi. (hawapo pichani) Kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar. Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar na (kulia kwake) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla.
WAJUMBE wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapindsuzi Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akiongoza Kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar. Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar na (kulia kwake) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla.
WAJUMBE wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapindsuzi Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akiongoza Kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakiagana na Viongozi wa CCM baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Hemed Suleiman Abdulla,baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Wajumbe wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Maalum, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.