Habari za Punde

Uzinduzi wa Kikosi kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa

RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais,Sera ,Uratibu na Baraza la Wawakilishi Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohamed na  Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Tanznia Mhe.Jaji Francis S. Mutungi pamoja na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Zanzibar Bw.Mohamed Ali Ahmed wakati alipowasili katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki  katika Uzinduzi wa Kikosi kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa.[Picha na Ikulu] 10/01/22

RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (mbele) akifuatana na Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Tanznia Mhe.Jaji Francis S. Mutungi   wakati alipowasili katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki  katika Uzinduzi wa Kikosi kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa.[Picha na Ikulu] 10/01/22.

Baadhi ya wajumbe wa  Kikosi kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa kabla Uzinduzi wa Kikosi hicho uliofanywa leo na  RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)  katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki  Nje ya Jiji la Zanzibar. [Picha na Ikulu] 10/01/22.

RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wengine akiwepo na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman (wa pili kulia)  wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa kabla Uzinduzi wa Kikosi Kazi  kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa   hafla ilyofanyika leo   katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki  Nje ya Jiji la Zanzibar. [Picha na Ikulu] 10/01/22.
Baadhi ya wajumbe wa  Kikosi kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa wakiwa katika  hafla ya  Uzinduzi wa Kikosi hicho uliofanywa leo na  RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)  katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki  Nje ya Jiji la Zanzibar. [Picha na Ikulu] 10/01/22

Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Tanznia Mhe.Jaji Francis S. Mutungi alipokuwa akitoa maelezo na kuwatambulisha wajumbe wa Kikosi kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa wakati wa Uzinduzi rasmi uliofanywa na RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) leo katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesaki Nje ya Jiji la Zanzibar .[Picha na Ikulu] .

Mwenyekiti wa Kikosi kazi  Prof.Rwekeza S.Mukandara alipokuwa akitoa shukurani zake katika hafla ya uzinduzi wa  Kikosi kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa uliofanyika leo katika  ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki  Nje ya Jiji la Zanzibar mgeni rasmi alikuwa  RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi . [Picha na Ikulu] 10/01/22.
Waalikwa wa vyama vya siasa katika Uzinduzi wa Kikosi kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa wakifuatilia kwa makini wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotoa hutuba yake katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesaki Nje ya Jiji la Zanzibar .[Picha na Ikulu] 10/01/22.
Waalikwa wa Vyama vya Siasa katika Uzinduzi wa Kikosi kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa wakifuatilia kwa makini wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotoa hutuba yake katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesaki Nje ya Jiji la Zanzibar .[Picha na Ikulu] 10/01/22.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya Uzinduzi wa Kikosi kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa   katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesaki Nje ya Jiji la Zanzibar (kulia) Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman.  [Picha na Ikulu]10/01/22. 


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.