Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Bungeni Jijini Dodoma leo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge  wa Viti Maalum, Jacqueline Ngonyani, bungeni jijini Dodoma
Mbunge wa Jimbo la Ilala,Mhe. Mussa Azan Zungu akiwaomba wabunge wamchague kuwa Naibu Spika, Bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipiga kura ya kuchangua Naibu Spika wa Bunge, bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka katika sanduku kura ya kumchagua Naibu Spika wa Bunge, bungeni jijini Dodoma, Februari 11, 2022. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.