Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi amuapisha Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar

WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia kuapishwa kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar,Kanali Burhan Zuberi Nassor , akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-2-2022.(Picha na Ikulu)
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid, Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana wakifuatilia kuapishwa kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana  na Dawa za Kulevya Zanzibar.Kanali Burhani Zuberi Nassor,  akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa Ikulu wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki kabla ya kuaza kwa hafla ya kuapishwa kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar, (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.(Picha na Ikulu)

/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akimuapisha Kanali Burhan Zuberi Nassor kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-2-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein  Ali Mwinyi akisaini hati ya kiapo baada ya kumaliza kumuapisha Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar Kanali Burhan Zuberi Nassor,hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-2-2022.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Viongozi wa Serikali Viongozi wa Dini Zanzibar wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar, Kali Burhan Zuberi Nassor, akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Alki Mwinyi.(hayupo pichani) hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-2-2022.(Picha na Ikulu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.