Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa International Finance Cooperation (IFC) Makhtar Sop Diop Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji  wa International Finance Cooperation (IFC) Makhtar Sop Diop mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo.03 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji  wa International Finance Cooperation (IFC) Makhtar Sop Diop mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji  wa International Finance Cooperation (IFC) Makhtar Sop Diop mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji  wa International Finance Cooperation (IFC) Makhtar Sop Diop mara baada ya Mazungumzo yao yaliofanyika  Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji  wa International Finance Cooperation (IFC) Makhtar Sop Diop pamoja na Ujumbe alioambatana nao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji  wa International Finance Cooperation (IFC) Makhtar Sop Diop pamoja na Ujumbe alioambatana nao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 03 Februari, 2022.
PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.