Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Awasili Nchini DRC.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini DRC, Luteni Jenerali Paul Mella wakati alopowasili kwenye uwanja wa ndege  wa kimataifa  Kinshasa ,  Nd'jili Februari 23, 2022 ambako kesho anatarajiwa kushiriki Mkutano wa Kumi wa Wakuu wa Nchi na Serikali zinazohusika na Mpango wa Amani, Usalama na ushirikiano nchini humo na ukanda wa Maziwa Makuu.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini DRC, Luteni Jenerali Paul Mella  (wa pili kushoto)wakati alopowasili kwenye uwanja wa ndege  wa kimataifa  Kinshasa ,  Nd'jili Februari 23, 2022 ambako kesho anatarajiwa kushiriki Mkutano wa Kumi wa Wakuu wa Nchi na Serikali zinazohusika na Mpango wa Amani, Usalama na ushirikiano nchini humo na ukanda wa Maziwa Makuu. Kushoto ni balozi wa DRC nchini, Jean Pierre  Mutaba.(Picha  na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.