Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu akutana na kuzungumza na Meya wa Jiji la New York nchini Marekani Pia azungumza na Wafanyabiashara na Wawekezaji pamoja na Wadau Wakuu wa Sekta ya Habari wa Marekani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Meya wa Jiji la New York Mhe. Eric Adams Jijini humo nchini Marekani leo tarehe 18 Aprili, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Meya wa Jiji la New York Mhe. Eric Adams Jijini humo nchini Marekani leo tarehe 18 Aprili, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Meya wa Jiji la New York Mhe. Eric Adams mara baada ya mazungumzo yao leo tarehe 18 Aprili, 2022 nchini Marekani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mtangazaji Maarufu wa Kituo cha Television cha CBS nchini Marekani Bi. Gayle King wakati alipokutana na Wafanyabiashara, Wawekezaji pamoja na Wadau Wakuu wa Sekta ya Habari wa nchini Marekani katika Jiji la New York leo tarehe 18 Aprili, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara, Wawekezaji pamoja na Wadau Wakuu wa Sekta ya Habari wa nchini Marekani katika Jiji la New York leo tarehe 18 Aprili, 2022. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Rais ambaye pia ni Mtendaji Mkuu wa US African Development Foundation USADF Travis Adkins wakati alipokutana na Wafanyabiashara, Wawekezaji pamoja na Wadau Wakuu wa Sekta ya Habari wa nchini Marekani katika Jiji la New York leo tarehe 18 Aprili, 2022. 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.