Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Akizungumza na Wazee wa Baraza la Wazee wa CCM Pemba.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wazee wa Baraza la Wazee wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Pemba, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa jengo la ZSSF Tibirinzi Chakechake Pemba
WAZEE wa Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Kisiwani Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na Wazee hao uliofanyika katika ukumbi wa Jengo la ZSSF Tibirinzi Chakechake Pemba.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Pemba Bw.Mohammed Abass Mselem, wakati wa mkutano huo wa Wazee uliofanyika katika ukumbi wa jengo la ZSSF Tibirinzi Chakechake Pemba
KATIBU wa Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Pemba Bw.Abdalla Yussuf Ali akisoma na kuwasilisha taarifa ya Wazee wa Baraza la CCM, wakati wa mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Chakechake Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.