Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Amefanya Ziara na Ukaguzi wa Bandari ya Dar es Salaam.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua utendaji kazi kwenye Bandari ya Dar es Salaam, baada ya kuzungumza na Viongozi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makontena Tanzania (TICTS)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Meneja Usafirishaji na Ukaguzi kutoka Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Injinia Said Mkwawa, wakati alipokagua utendaji kazi kwenye Bandari ya Dar es Salaam, baada ya kuzungumza na Viongozi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makontena Tanzania (TICTS)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua utendaji kazi kwenye Bandari ya Dar es Salaam, baada ya kuzungumza na Viongozi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makontena Tanzania (TICTS)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makontena Tanzania (TICTS) Matt Clift, wakati alipokagua utendaji kazi kwenye Bandari ya Dar es Salaam, baada ya kuzungumza na Viongozi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makontena Tanzania (TICTS), Aprili 8, 2022. Kulia ni Mkurugenzi wa Bandari Tanzania, Eric Hamiss.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi wa Bandari Tanzania, Eric Hamiss (katikati), wakati alipokagua utendaji kazi kwenye Bandari ya Dar es Salaam, baada ya kuzungumza na Viongozi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makontena Tanzania (TICTS), Aprili 8, 2022. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Bandari Tanzania, Balozi. Ernest Mangu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Wandendaji wa Bandari ya Tanzania TICTS, na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwenye ukumbi wa Mamlaka ya Bandari jijini Dar es salaam, Aprili 8, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.