Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan alipowasili jana Accra Nchini Ghana kwa ajili ya Ziara ya Kikazi ya Siku tatu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kotoka Accra nchini Ghana kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu nchini humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati nyimbo ya Taifa ya Tanzania ikipigwa wakati wa mapokezi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kotoka Accra, nchini Ghana
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kotoka Accra nchini Ghana kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu nchini humo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kotoka Accra nchini Ghana kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu nchini humo tarehe 23 Mei, 2022.
                                                                          

                                                                         Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.