Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Bwanga Geita

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa  Geita alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Geita alipokuwa akielekea Mkoani Kagera kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu inayoanza tarehe 08 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wasanii wa Vikundi vya ngoma mbalimbali alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Geita, alipokuwa akielekea Mkoani Kagera kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu inayoanza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Kata ya Bwanga Wilaya ya Chato Mkoani  Geita alipokua njiani akielekea Mkoani Kagera kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu inayoanza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Kata ya Bwanga Wilaya ya Chato Mkoani  Geita wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) njiani akielekea Mkoani Kagera kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu inayoanza

Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.