Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Azindua Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation, Zanzibar, Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  akisalimiana na Viongozi, Wanafunzi na Wananchi alipowasili katika ukumbi wa Golden Tulip, Zanzibar tarehe 19 Juni, 2022 kwa ajili ya kuzinduzia Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo yenye saini 50 za Wanafunzi Wanawake waliofaidika na Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) katika hafla iliyofanyika kwenye hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali kabla ya kuzindua Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) katika hafla iliyofanyika kwenye Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar
Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) uliofanyika katika hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akibonyeza Kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) katika hafla iliyofanyika kwenye Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar tarehe 19 Juni, 2022. Taasisi hiyo iliyozinduliwa ina lengo la kumsaidia mtoto wa Kike Shuleni pamoja na Watoto wengine ili kuhakikisha wanatimiza ndoto zao kielimu na kimaisha.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi na Wananchi baada ya kuzindua rasmi Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) katika hafla iliyofanyika kwenye Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar tarehe 19 Juni, 2022.
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.