Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Azungumza na Mufti Mkuu wa Taifa la Oman.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mufti Mkuu wa Taifa la Oman Sheikh Ahmed bin Hamad Al-Khalili yaliyofanyika Kasri ya Al Alam, Muscat nchini humo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mufti Mkuu wa Taifa la Oman Sheikh Ahmed bin Hamad Al-Khalili yaliyofanyika Kasri ya Al Alam, Muscat nchini humo.
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.