Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndg. Abdulrahaman Kinana Asaini Kitabu cha Maombolezi Kufuatia Kifo cha Dos Santos,Unalozi wa Agola Nchini Tanzania.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg. Abdulrahman Kinana  akisaini kitabu cha maombolezo tarehe 12 Julai, 2022 katika Ubalozi wa Angola Jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Komredi José Eduardo dos Santos, kilichotokea Ijumaa, Julai 8, 2022. nchini Hispania. Pichani pamoja nae ni Katibu Wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka (aliyesimama Kwanza Kushoto) Pamoja na Balozi wa Angola Nchini Tanzania Mhe. Sandro De Oliveira.(Aliyevaa Miwani)

Balozi wa Angola Nchini Tanzania Mhe. Sandro De Oliveira akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg. Abdulrahman Kinana mara baada ya kusaini kitabu cha maombolezo tarehe 12 Julai, 2022 katika Ubalozi wa Angola Jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Komredi José Eduardo dos Santos, kilichotokea Ijumaa, Julai 8, 2022.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg. Abdulrahman Kinana akiteta na Balozi wa Angola Nchini Tanzania Mhe. Sandro De Oliveira alipokwenda kusaini kitabu cha maombolezo tarehe 12 Julai, 2022 katika Ubalozi wa Angola Jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Komredi José Eduardo dos Santos, kilichotokea Ijumaa, Julai 8, 2022

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg. Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Angola Nchini Tanzania Mhe. Sandro De Oliveira alipokwenda kusaini kitabu cha maombolezo tarehe 12 Julai, 2022 katika Ubalozi wa Angola Jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Komredi José Eduardo dos Santos, kilichotokea Ijumaa, Julai 8, 2022

(Picha Zote na Fahadi Siraji/CCM Makao Makuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.