MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti
wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiongoza
matembezi ya mazoezi ya viungo ya Kilimota 5 yaliyoazia katika viwanja vya
Kinyasini na kumalizia katika viwanja vya Mnazi mmoja Wete na (kulia kwake)
Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Salama Mbarouk na Katibu wa Baraza la
Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwake)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera,Uratibu na Baraza la
Wawakilishi.Mhe.Hamza Hassan Juma

MKE wa Rais Rais wa Zanzibar ambae pia ni
Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi
akiwasalimia Wananchi wakati akiongoza matembezi ya mazoezi ya viungo ya
kilomita 5, yaliyoshirikisha Vikundi mbalimbali vya mazoezi ya viungo vya Mkoa
wa Kaskazini Pemba, yalioazia katika viwanja vya Kinyasini na kumlizikia katika
Viwanja vya Mnazi Mmoja Wete Pemba leo 28-7-2022
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti
wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiongoza
Wanamichezo katika mazoezi ya viungo yaliofanyika katika viwanja vya Mnazi
Mmoja Wete Pemba, baada ya kumalizia
matembezi ya mazoezi ya viungo yaliyoazia katika viwanja vya Kinyasini na
kumalizia katika viwanja vya Mnazi Mmoja Wete na kujumuika katika mazoezi ya
pamoja ya viungo yaliyofanyika leo 28-7-2022

wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akizungumza na
Wanamichezo wa Vikundi vya mazoezi ya viungo yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi
Mmoja Wete, baada ya kumaliza matembezi hayo na mazoezi ya pamoja ya viungo
yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo 28-7-2022
WANAMICHEZO wa mazoezi ya viungo Mkoa wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi.(hayupo pichani) akiwahutubia baada ya kumaliza mazoezi ya pamoja ya viungo yaliofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja Wete Pemba
WANAMICHEZO wa mazoezi ya viungo Mkoa wa Kaskazini
Pemba wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi
ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi.(hayupo pichani)
akiwahutubia baada ya kumaliza mazoezi ya pamoja ya viungo yaliofanyika katika
viwanja vya mnazi mmoja Wete Pemba 28-7-2022.
WANAMICHEZO wa mazoezi ya viungo Mkoa wa Kaskazini
Pemba wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi
ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi.(hayupo pichani)
akiwahutubia baada ya kumaliza mazoezi ya pamoja ya viungo yaliofanyika katika
viwanja vya mnazi mmoja Wete Pemba leo 28-7-2022.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment