RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe Haroun Ali Suleiman, akitowa maelezo kuhusiana na mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahri Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja uliofanyika leo 12-7-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi Wakuu wa Serikali baada ya kuwasili katika ukumbi wa Madinat Al Bahri Mbweni, wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki, kabla ya kuaza kwa ufunguzi wa mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahri Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 12-7-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Tuzo ya “Promoting Integrity
and Anti-Corruption in Africa” na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa Afrika ya
Kupinga Rushwa Mhe. Jean-Louis
Andriamidfidy, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Maadhimisho ya Siku
ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika, unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya
Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 12-7-2022
BAADHI ya Mawaziri na Viongozi wa Dini waakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahri Mbweni Wilaya ya Magharibi”B” Unguja leo 12-7-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 12-7-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri
wa Afrika ya Kupinga Rushwa Mhe. Jean-Louis Andriamifidy, baada ya kuufungua wa
mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika, unaofanyika
katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 12-7-2022
No comments:
Post a Comment