Habari za Punde

Rais Mhe. Samia akutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa uendeshaji wa Benki ya Dunia (IDA) Axel van Trotsenburg, Dakar, Senegal

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa uendeshaji wa Benki ya Dunia (IDA) Axel van Trotsenburg, Dakar nchini Senegal kabla ya kuanza mazungumzo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa uendeshaji wa Benki ya Dunia (IDA) Axel van Trotsenburg, Dakar nchini Senegal kabla ya kuanza mazungumzo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa uendeshaji wa Benki ya Dunia (IDA) Axel van Trotsenburg mara baada ya mazungumzo yao Dakar nchini Senegal tarehe 07 Julai, 2022.Picha na Ikulu.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.