Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mhadishi Salum Masoud Atai akitowa maelezo ya Ujenzi wa mabanda ya Biashara kwa Wajasiriamali yanayojengwa katika eneo la chumbuni kwa ajili ya Wafanyabiashara wa Wilaya ya Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mabanda ya Biashara kwa Wajasiriamali wa Wilaya ya Mjini akiwa katika ziara ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Wilaya ya Mjini.
No comments:
Post a Comment