Habari za Punde

Waziri Mkuu Nhe. Kassim Majaliwa Akutana na Kuzungumza na Skauti Mkuu Mhe. Mwantumu Mahiza.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akisalimiana na Skauti Mkuu Mhe. Mwantumu Mahiza, a;lipofika Ofisi ndogo  ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam,leo Julai 13, 2022.kwa mazungumzo.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Skauti Mkuu Mhe. Mwantumu Mahiza, ofisi ndogo  ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam, Julai 13, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.