Habari za Punde

Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Ndg. Shaka Hamdu Aendelea na Ziara Yake Kutembelea Kiwanda cha Asal;i na Nyusi Tabora.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, akitazama mitambo katika kiwanda cha kuchakata asali wilayani Sikonge, Mkoa wa Tabora akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM mkoani humo.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, akitazama asali iliyochakatwa katika kiwanda cha kuchakata asali wilayani Sikonge, Mkoa wa Tabora akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM mkoani humo.
Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka, akisikiliza maelezo kuhusu kukwama kwa Mradi wa Kiwanda cha Nyuzi Tabora 
                               (Picha zote na Fahad Siraji wa CCM).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.